Get lyrics of Bwana u sehemu yangu song you love. List contains Bwana u sehemu yangu song lyrics of older one songs and hot new releases. Get known every word of your favorite song or start your own karaoke party tonight :-).
Reuben Kigame - Sina Mungu Mwingine Lyrics
Justin Kiharo suggested changes to these lyrics. Sina mungu mwingine, wa kutegemea mbiguni na duniani, hapana mwingine sina cha kupendeza, wala cha faida ila wewe bwana wangu, mungu wa milele Mwili na moyo wangu, vyaweza zimia mbali mungu ndiye nguvu, za uhai wangu yeye sehemu yangu, milele daima ...Beatrice Muhone - Liko Lango Lyrics
Liko lango moja wazi, Ni lango la mbinguni. Na wote waingiao wata pata nafasi. Hima ndugu, tuingie lango halijafungwa, likifungwa mara moja halitafunguliwa. Yesu ndie lango hili, hata sasa li waazi Kwa wakubwa na wadogo, tajiri na maskini Lango ndie Yesu bwana wote waingie kwake, lango, lango, la ...Reuben Kigame feat. Jayne Yobera - Bwana Ni Mchungaji ...
Bwana Ni Mchungaji wangu Sitapungukiwa Kitu, Hulaza kwenye majani mabichi Hunongoza Kwa maji Matulivu Hunihuisha nafsi yangu Huniongoza kwa njia Za Haki Nipitapo bondeni mwa mauti Sitaogopa wewe u nami Hakika wema nazo fadhili Zita nifuata mimi Nitakaa Nyumbani mwa bwana Siku zote za maisaha yangu ...Bony Mwaitege - Njoo Ufanyiwe Maombi Lyrics
Tatizo lako umezunguka nalo sanaa Sehemu nyingi umezunguka kwa Yesu sasa njoo, njoo mama Njoo ufanyiwe Maombi, njoo uombewee Njoo ufabyiwe maombezi Mama, Njoo ufanyiwe maombi, kwa jina la Yesu kristo, Njoo ufanyiwe maombezi Baba, Ukiombewa tatizo lako ni dogoo Ukiombewa tatizo lako ni dogo hilo Ukiombewa tatizo lako ni dogo Ukiombewa tatizo lako ni dogo hilo Njoo ufanyiwe maombi Njoo ufanyiwe ...
Found 5 lyrics.